JOYCE KIRIA AFUNGA MWAKA VIBAYA APATA AJALI


Mtangazaji wa kipindi cha bongo movie kinachorushwa naEatv Chanel 5 ameuaga mwaka vibaya kwa kupata ajali akiwa njiani kuelekea Moshi kusheherekea sikukuu ya mwaka mpya pamoja na familia ajali hiyo alipata maeneo ya Kabuku Mkoani Tanga. Gari ya mtangazaji huyo ilikuwa ikijaribu kuipita gari ya aina ya Haice na ndipo ilipokutana uso kwa uso na gari aina Centa na centa hiyo kupinduka majeruhi walikimbizwa Hospitalini hakuna mtu aliyekufa gari ya mwadada huyo imeifadhiwa kituo cha polisi na mwanadada huyo kuendelea na safari mkoani Moshi, pole sana dada yangu kwa kupata ajali Mungu ni mwema kwa kuwa ukuumia popote.

Joyce akiwa anatoa taharifa kwa ndugu na jamaa baada ya kupata ajali hiyo na hii ndio hali halisi ya gari jinsi ilivyoharibika baaada ya kuikwepa centa hiyo

Upande ulioumia sana

Joyce akiwa na ndugu yake

No comments: