AJALI MBAYA YA MAGARI ILOTOKEA UBUNGO-DAR ES SALAAM,TANZANIA

Katikati ni gari ndogo nyekundu iliyokandamizwa chini ya gari kubwa jeupe la mafuta. kuna mtu yuko hai bado hajatolewa. habari zinasema watu watatu wamekufa kati yao mama mjamzito ambaye kichwa na kiwiliwili vimetengana
Wakijaribu kunasua mwili wa wahanga hao wa ajali na miili ya waliokufa katika ajalia hiyo.
Kama inavyoonekana hali ilikuwa ni mbaya sana watu wakiagalia kilichotokea bila kuaminai lakini ndiyo hivyo tena.
PIC'S FROM ''HUSSEIN KABELELE''

No comments: