DAT'S WHAT WE CALL ''''GUBU''' MWEEEEEE!!!!!!!!

Fredrick Ishengoma Inaonesha kashikwa pabaya teh teh teh
Sarah John-Munez ‎"Nitumie lugha gani unielewe mwenzangu?? Kila
                               siku nakuambia, rafiki'ko huyo anakupotosha....ona sasa. Nani ataku-refund??"
Ezekiel Noah nimechoka usinisumbue tutaongea baadae
Freddie Chuwa kazi kuwapa wapa wanafunzi mimba sasa cheki utajibuje sasa
Alluthe Nungu Gubu ni sumu ya penzi!
Haina tofauti na dharau
Agnes Fumbwani ‎'kila cku kuzngukia mahausigel nikileta haya sasa USHAMMIMBA tutaweka wapi nyuso ze2?!'
Keneth Kunambi Nataka mtoto wa sita,utajua utawaleaje... (Huyu si mchezo...teh teh teh...mbavu zangu miee..)

No comments: