MHESHIMIWA ''SUGU'' NA MHESHIMIWA ''JOHN MNYIKA'' SWAGGING ON STAGE!!!

I see wabunge with swaggs like Jiggah...teh teh......
Mbunge wa Mbeya Mjini-Chadema Mheshimiwa  Joseph Mbilinyi aka Mr II akiwa jukwaani na Mbunge wa Ubungo-Chadema , John Mnyika. Wabunge takribani wanane walisindikiza uzinduzi wake huo ulioenda sambamba na uzinduzi wa kitabu kinachoeleza historia yake katika maendelea ya muziki wa Rap Bongo kwenye Tamasha lake lilofunika juzi Jijini Dar es Salaam Lilokwenda Kwa Jina laVinega
Mheshimiwa Mbunge Joseph akiwa anachana mistari jukwaani usiku wa kuamkia juzi.
************************************************************
PICHA NA ''BRIDGETE STANCY''

No comments: