SNAPS ZA WADAU WALIVYOSHEHEREKEA MIAKA 12 YA CLOUDS FM !!!!!!!

 From left are Bi-shost,call her Gea Habibu.Dina Marios and Bro Peter Moe wa Grooveback...
Gea Ulipendezaje mama!!!!

Perfect (right) umekuwa kweli dogo!!!!! wakimbize.Naona ulipozi na Hot bibiez wa kipindi cha hekaheka.....LOL
Pj,Babra na Bonge!!! iko poa hii
Moonshine,Zamaradi,Antu,Loveness na Perfect
  B12 na Shadee
Adam Mchomvu,Banza stone na Maunda Zoro......
   Babra Hassan,Pj na Gerald Hando.  Gerald na Jimmy mtayarishaji wa PB.
Wageni mbalimbali walikwenda kutoa mkono wa pongezi na kuzungumza yao mengi tu.Linex alikwenda na kuimba live pia kuzungumza vile clouds imeweza kumuinua kisanaa.
Ditto aliperfom wimbo wake wa tushukuru kwa yote...
Hapa PB ilikuwa ikiisha na wakakaribisha timu ''leo tena''
 Walinyamaza  kwa muda wa dk kadhaa kumkumbuka na kumuombea mwanamuziki Mr.Ebbo ambae alifariki dunia usiku wa kuamkia siku ya sherehe yao
Sakina Lyoka wa clouds tv aliwakaribisha na wakalianzisha..mweeeee!!!! palikuwa hapatoshi
Gea akielezea kwa ufupi safari yake ya clouds fm
 Clouds Fm walianza kutembelewa na Charles mmoja wa wasikilizaji wa clouds fm toka inaanza hadi leo
Msanii wa siku nyingi Hussen Jumbe pia alikwenda kutoa mkono wa pongezi.
Gea Habib,na wawakilishi wa chama cha Mc
  Tarehe 2 Dec  ni siku ya kuzaliwa mtoto wa aliyewahi kuwa mtangazaji wa clouds fm marehemu Amina Chifupa.Hapa namzungumzia Rahman alikuja pia na babu yake Mzee Chifupa.
Rahman ametimiza miaka kumi leo,yupo darasa la nne sasa.Walimuimbia happy birthday to you...happy birthday to you...happy birthday dear Rahman.....happy birthday to you!
Rahman akawatonya vile shuleni anafanya vyema anakuwa wa kwanza mpaka wa 5....saaafiii!
 Muda ukaenda si wakaanza kukata keki na Akaambiwa achague zawadi clouds wamnunulie akachagua playstation.
  Zamaradi Mketema nae aka-join
Mgeni mwingine walompokea  ni Bishanga Bashaija....
Bishanga ni moja kati ya wasanii wa maigizo wa mwanzo kabisa kutengeneza jingle za clouds fm.Alikuwa yeye,Bashir,Onyango na Mwita Maranya........yereeeeeee.
Dokiii alikuja pia....
 Tz oyeeeee!!!1 Beautiful peopleeeeee 4 real
Gea,Zamaradi,na Peter Msechu...
***********************************************************************
NILIKOVUTIWA SIKU YA SHOW YA RED RIBBON FASHION GALA YA KHADIJA MWANAMBOKA PALE DOUBLE TREE BY HILTON..........................

Sintalicious a.k.a J.LO wa bongo posing na Martin Kadinda!!!!!! Sinta umependeza wangu
Miraji Kikwete (kulia) nae alikuwepo
Alma na wadau
Jaqueline Ntuyabaliwe-Miss Tz 2000 hakukosa...
Faraja Kotta was also there,umebadilika mama!!!! Nywele fupi
Hahahahahahhaah,Zainul Mzige wa MO BLOG nae akapozi na Sinta!!!!!
Fashionista Rio Paul nae akaja!!!!
Khadija Mwanamboka (right)

Super Model Flavy na Sinta
There goz my beautiful sister.call her Cynthia Masasi
My other sister,call her Doreen Njunwa!!!!!!
Auchhhhhhh,Doreen with Madam Ritha
Safi sanaaaaaaaaa
Sinta Meza moja na Miraji Kikwete
Sis D kama ananawa,looking yigyyyyyyy!!!!! pendeza sana weye!!


No comments: