WAFANYAKAZI WA ABA HOME HEALTH CARE HOLIDAY PARTY YA KUFUNGA MWAKA!!!! NCHINI MAREKANI''

Wafanyakazi wa ABA Home Health Care wakiwa katika tamasha la sherehe za mwisho wa mwaka zilizofanyika jana jumamosi Dec 3,2011 katika jimbo la Maryland  ndani ya ukumbi wa Martin Luther King Jr  Hwy Suile mitaa ya Lanham MD Nchini Marekani.
Wadau na wafanyakazi from Washington Dc, Baltimore, na Virginia walifurika jana jumamosi katika tamasha hilo la wafanyakazi pamoja na wajasirimali wakijipongeza katika sherehe hizo zilofana ndani ya Ukimbi wa Martin Luther King Jr hukoooooo Mtoni kwa Obama
  
Mussa Linga nae alikuwepo!!!!! 
  
Beautiful Mariam Ngalau (right) nae si alijumuika,full kupendeza
   
Eliud Mbowe ( Right) with Mselem Omar
 Eliud Mbowe
Juicyteefa
 Catherine Mukami was also there!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Pracatumba!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
    
Waliependezajeeeeeeeeeeee

No comments: