THE MAKING OF MUSIC VIDEO "GET YOUR HANDS UP" BY SAJU


Hii ilikuwa siku ya utengenezaji wa video mpya ya msanii msanii mpya anajulikana kwa jina la Saju. Wimbo huo unaitwa GET YOUR HANDS UP na umetengenezwa katika studio ya Authentic iliyopo Mbezi Beach. Video hii imetengenezwa na kampuni ya APEX VIDEOZ

Saju
 Credits to DJ Choka

No comments: