Alhamisi hii na kila alhamisi zingine,Batoo Entertainment na Club Velocity pande za Njiro Complex,watakuletea "JamNite",Jamdropa Dj'z--Dj Mido" na "Dj P"watadrop hot reggae riddimz,Sweet and Roots reggae for all y'all kwa dance floor kuanzia saa mbili jioni mpaka sita usiku, KIINGILIO ni FREE,so let's all come Jam to the top of the top Reggae vibes in A-city...

No comments: