MARAFIKI/FANS WA MAREHEMU 'STEVEN KANUMBA' WANAHAYA YA KUSEMA

Mwana umeondoka mapema sana..ulikuwa jika langu na ulikuwa na malengo mengi..rudi japo kidogo uwaage marafiki ndugu na wapenzi wa filamu zako daaah...R.I.P ma home boy STEVEN KANUMBA. said DJ CHOKA

Rest in Peace my friend...you create jobs ,you believed on our own...and you took them as ur own and give them opportunities to believe on themselves and be who they wanna be and take acting as their career....Where do they go now.....Kanumba!!!? Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi...Pigo la taifa jamani..Poleni Kaole poleni Tanzania...! said MILLEN MAGESE 
yeye ndio alianza kufanya watu wapende movie zakibongo coz he was real akiwa ana act coz alichukua kama kazi yake a sio sehemu yakuuza sura.R.I.P said HELLEN MWINGA
NIMESTUSHWA SANA USIKU WASAIDIZI WANGU WALIPONIAMBIA KANUMBA AMEFARIKI. AMEFARIKI AKIWA NI MOJA YA MIFANO BORA KABISA WA WASANII WA KITANZANIA. AMEONDOKA AKIWA NA WAFUASI WENGI SANA AMBAO KWAKWELI WANAIKUBALI KAZI YAKE. FUNDISHO KUBWA ALILOTUACHIA VIJANA WA KITANZANIA NI KUWA PENYE NIA PANA NJIA. JUHUDI NA MAARIFA NI MSINGI WA MAFANIKIO....RIP KANUMBA Said NAPE NNAUYE
OMG just woke up breastfeeding my son! Seing all these bbm pings and msgs that Actor Steven Kanumba is DEAD?? Its hard to believe how short life is now days! Rest In Peace Brother.. said CYNTHIA MASASI
Kanumba you'll always be the best and good seed too R.I.P hommie said SEIF KABELELE
R.I.P Steven Kanumba Said ABUU MALIPULA
Hakuwahi kuwa Rafiki yangu japo nakumbuka alipoanza kuimba aliniletea Kazi yake nimsapoti kimuziki,alikuwa Mbishi kwa hakika kukubali kukosolewa hata alipokosolewa kwa roho safi! Lakini siku zote niliamini Kanumba alikuwa na Kipaji kikubwa sana cha uigizaji ambacho kingepata Director na script nzuri,wallah nakuambia....sina cha kusema! RIP STEVE! said ANORLD KAYANDA

“Let us endeavor to live so that when we die even the undertaker will be sorry"
MAY YOUR SOUL REST IN PEACE BROTHER! Said SELLES MAPUNDA

 Marehemu hakuwa nyuma katika kutoa misaada kwa watoto yatima.Nakumbuka sana picha hii nilimpiga Mwenyewe pale K/Nyama kituo cha watoto yatima.........Dahhhhhhhh
RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TZ NAE ALIKUWEPO KUWAFARIJI WAFIWA....

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba
Presdaa Kikwete greeting Kanumbas Young Braaaaa
Rais Kikwete akiwafariji wafiwa nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo alikofika kuomboleza nao msiba huo.
Rais Kikwete akiaga waombolezaji nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo.


No comments: