MWALIMU BERNADETA MINJA WA KITIVO CHA SAYANSI YA JAMII, IDARA YA UCHUMI NA BIASHARA AMEFARIKI DUNIA JANA USIKU KATIKA AJALI YA BARABARANI AKIWA SAFARINI KUELEKEA DODOMA YEYE PAMOJA NA MFANYAKAZI WAKE WA NDANI. POLE, SALA NA DUA ZETU ZIENDE KWA FAMILIA YAKE, NDUGU, JAMAA, MARAFIKI NA JAMII NZIMA YA UDOM.


No comments: