AS LONG AS YOU’VE GOT PASSION, FAITH AND ARE WILLING TO WORK HARD, YOU CAN DO ANYTHING YOU WANT IN THIS LIFE

 Tarehe 31 May 2013. Ndio siku ambayo albaum ya Nothing but the truth itapatikana mitaani.
Taarifa kamili za jinsi gani itakuwepo eneo la karibu na wewe tutazitoa Jumatano.
Kwa wale watakaonunua kabla watazipata kuanzia tar 31 May, mikoa yote nchini Tanzania.
Utaratibu wa jinsi gani utanunua kabla utatoka siku ya jumatano.

Show ya miaka 13 ya LADY JAYDEE itatangazwa tarehe, kila kitu kikiwa tayari.. Tunaomba support yenu.

Naamini wapenzi wa Jide ni wa Jide, na mtajitokeza kwa wingi bila kujali jungu na fitina litakalopigwa.

Natanguliza shukrani na mapenzi tele

Lady Jay Dee


No comments: