LADY JAY DEE 13 YEARS ANNIVERSAY IN MUSIC 31/MAY/2013 LIVE SHOW @ NYUMBANI LOUNGE-STARTS 9PM--Tickets za VIP Tsh.50,000/= zinapatikana SHEAR ILLUSIONS Mlimani City, BM Salon Kinondoni, CITY SPORTS LOUNGE mjini, NYUMBANI LOUNGE, SAMAKI SAMAKI Mlimani City na kwenye gari yangu popote utakapopishana na mimi. MIAKA 13 YA LADY JAYDEE njooni tuimbe na tusherehekee kwa pamoja ta 31 May 2013. Sehemu ya Parking ya ndani ya Nyumbani Lounge, Tranic Plaza


Juma Nature ameongezeka katika list ya wasanii watakaokuwepo kushiriki miaka 13 ya Lady JayDee...
Tickets zinaendelea kuuzwa na zinapatikana Shear Illusions Mlimani City, City Sports Lounge Mjini Posta, BM Salon Kinondoni na American Nails n Hair Salon Kinondoni bila kusahau Nyumbani Lounge.

No comments: