LE BIG SHOW a.k.a LE BAHARIA THE SO CALLED ‘WILLIAM . J . MALECELA a.k.a MR WASUP-a.k.a KUWA DOWN SANA AGAIN ON MBULULAZ

@ LE MUTUZ LIVE HARD STRAIGHT TALK!!:- WANAANZISHA VI-BLOG UCHWARA VINASHINDWA KUHIMILI MAPIGO, SASA KWA VILE KUNA BLOGS ZINGINE ZINAPASUA WANAONA WIVU NA GELE, SO WANAANZA KULIA LIA ETI SHERIA ZA UANDISHI WA HABARI! REALLY? HA! HA! HA! HA! HA!, HIZI SHERIA UMEGUNDUA LINI KUWA ZINAVUNJWA KWENYE BLOGS ZA WENGINE? BAADA YA BLOG YAKO KUSHINDWA MAPIGO NA KUISHIA KUINGIA WEWE MWENYEWE NA MKEO TU? NDIO UMEGUNDUA KUWA BLOG ZINGINE HAZIFUATI SHERIA ZA UANDISHI? HA! HA! HA! HA! HA! HA!
- WABONGO TUJIFUNZENI KUPIGANIA MAENDELEO KWA KUSHINDANA, MAISHA NI KUTAFUTA SIO KUTAFUTANA, KILA MTU ANARUHUSIWA KUMILIKI BLOG LAKINI SIO KILA MTU ANARUHUSIWA KUWA MUANDISHI WA HABARI, USICHANGANYE MAMBO, UANDISHI WA HABARI NA BLOGGING NI VITU VIWILI TOFAUTI, NAHISI WENGI WENU HAMJUI HILO, BLOGS ZINATAKIWA KUANGALIAWA NA WATUWAZIMA WENYE AKILI TIMAMU WANAOWEZA KUPAMBANUA MCHELE NA PUMBA ZILIPO, BLOG IS JUST A BLOG! KAMA UNATAKA SHERIA ZA UANDISHI WA HABARI KWENYE BLOG SIO MAHALI PAKE, UKITAKA KUFUNGUA BLOG MPYA INACHUKUA ONLY 5 MINUTES THROUGH GOOGLE NA NI BURE, LAKINI HUWEZI KUFUNGUA GAZETI AU RADIO NA TV KWA DAKIKA 5 NA BURE? SO WALE MNAOLIA LIA NA BLOGGERS WANAOWAZIDI MAARIFA AMUENI EITHER KUJITOA NA BLOGS MUENDE HUKO AMBAKO SHERIA ZA UANDISHI ZINAFUATWA AU STAY BLOGGER LAKINI SHUT UP!! KAMA VIPI JIFUNZENI KUTOKA KWA WANAOWAZIDI MAARIFA IN BLOGGING, AS FOR ME WEMBE NI ULE ULE!!, 


 - LE MUTUZ

No comments: