LEGEND NEVER DIE (NGWAIR HUJAACHA SKENDO BUT UMEACHA PENGO) R.I.P MWANA EAST ZOO THE CHEMBA FULANI FROM DODOMA

Liked · 21 minutes ago

Sikuwahi kubahatika kukaa naye chini,nliongea naye kwenye simu tu.
Alikuwa na kipaji kilichopitiliza!Hakutumia juhudi zozote kufanya vile alivyokuwa anafanya.Kwake ku-rap ilikuwa kama kuvuta oxygen kwa mtu aliye hai!
Nakumbuka wimbo wa Mikasi ulipotoka,nliweza kuuimba wote na kuuweka ujirudie huku nikishindana na kaka zangu kuuimba wote!
Rest in peace my dear brother...Tanzania kamwe haitokusahau.Pengo lako kwenye muziki halitozibika!
::::(Msanii Albert Mangwea (Mangwair) amefariki dunia nchini Afrika Kusini katika hospitali ya Helen Joseph ya jijini Johanesburg alipopelekwa baada ya kugunduliwa na wenzake asubuhi ya leo kwamba alikuwa hoi. Hali hiyo ilimkuta maeneo ya Brixton-Mayfair West ambapo alikuwa amefikia kwa rafiki yake ambaye walisoma wote miaka ya nyuma)::::
 
 • Djcash Ofqueenss Kifo cha albert mangwea
  kinatufundisha nini??raha ya milele umpe ee
  bwana apumzike kwa amani amen
  Kwanza sitokuwa mwenye fadhila kuwapa pole
  familia yote ya albert marafiki na wale
  wapenzi wote wa music wake akiwamo mie
  naamini katika zile kumi kumi alinifanya
  nichukue moja baada ya tar 31 kwenda
  kumwona ndugu zangu kaka zangu dada
  yangu ni kweli duniani tunapita na kama
  wanavyosema ingawa kwenye hiyo hiyo biblia
  kwetu wakrist tunaamini atutakufa wote kuna
  wengine watakutwa na kunyanyuliwa pengine
  na mie niko huko ninaeamini haya .......na
  wewe unaesoma ingawa wengi wanafikiria
  kuwaza mali zako na ndio hao wanatufanya
  watu wanakufa kabla ya
  wakati.................ndugu zangu kaka zangu
  dada zangu sipendi kusema kwa ubaya ila
  napenda kusaidia wale wanaokosa ufahamu
  nahasa pale shetani anapowapitia...sitaki
  kukwambia albert amekufa na nini na ni
  mapenzi ya mungu shetani ama
  wewe unaesoma hili ila kikubwa kilichomua ni
  madawa ya kulevya ...sisemi kwa ubaya
  pengine kama una mhusika wa karibu
  southafrica akikueleza ni huzuni acha
  unachosikia kwenye redio clouds na
  zinginezo.......waheshimiwa walienda kujirusha
  kama kawaida lakini waliporudi wapo
  waliowakumbusha jamani mnafanya hivi
  mbona amjala na mshapiga ma whisky??sitaki
  uniulize sana ila naasema hili kama kijana
  mwenye hekima na mungu anisaidie kufungua
  vijana mpaka atakaporudi bwana yesu wakati
  wakijdunga mmoja wao alipoona wameanza
  kukoroma akusita kukimbia na wakati
  wakishtuka hali ya kaka yetu albert ni mbaya
  yupo mwenzake ambae walikuwa wakijidunga
  na tena kwa sindano ....mungu atusamehe ila
  napenda kuwaonya vijana wenye nguvu nguvu
  zenu sasa wakati muhimu kuzitumia kwenye
  ushindi wa maisha .leo hii nimemsikia mama
  amelia kwenye redio lakini najua alikuwa
  akijua albert hali yake na aliyokuwa akifanya
  kabla ya kwenda huko
  southafrica ........msikubali kutumiwa hata
  kama mnaitwa na watu huko nje na kuwakuta
  wanafanya mambo ya ajabu kataeni chomoeni
  pengine na sema hili sikwa bahati mbaya
  labda kiwango alichokuwa akitumia kaka hapa
  dar akikuwa kikubwa ama kikali kama
  alichokutana nacho huko kwa
  wenzetu....mungu atupe rehema yake
  amrehemu marehemu albert manwgea na
  raha ya milele ampe eebwana apumzike kwa
  aman amen amen ameeeeeeeeeeeeeennn

  Kuna habari ambazo sina uhakika nazo 100% na ninazidi kufuatilia kwamba huyu mwenzake Ngwair nae amefariki muda mfupi uliopita na kwamba waliwekewa sumu na kuibiwa kila kitu. Will update u more ngoja niendelee kufuatilia kujua ukweli wa habari hii.
  Like · · · 32 minutes ago via mobile · 
   
   NGWAIR TWEETS.........
  1. Mambo 5 muhimu ya kumfanya demu wako akupende kwa dhati 1.Mpe hela. 2.Mpe hela 3.We mpe hela. 4.Nakwambia mpe hela. 5.We mpe hela tu utaona
  2. In Jesus name ... Amen": I am redeemed from having no strength -Deut. 28:32 "

No comments: