REAL TALK#@ UKWELI MTUPU FROM NURU THE LIGHT A.K.A BONGE LA DEMU


HUWA NAKAA NA KUSEMA KUWA KWANINI WATU WANASEMA KUWA MASTAA NDIO KIOO CHA JAMII,KWANINI WAO NDIO KIOO CHA JAMII,KWANINI MTU MTAAANI KWENU,MJI WENU AU HATA NCHINI MWENU HAWEZI KUWA KIOO CHA JAMII,KUNA WALIMU WANABADILISHA MAISHA YA WANAFUNZI FOR BETTER KWANN WAO HAWAAMBIWI KUWA NI KIOO CHA JAMII,KUNA MADAKTARI,WANASHERIA,WANAWAKE MAMA NTILIE AU HATA MAMACHINGA AMBAO WANAFANYA VITU AU PITIA VITU MIMI SIJAWAHI PITIA ILA BADO HAITTWI KIOO CHA JAMII,KUNA SIKU NLIKAA NA VIJANA WAKIMACHINGA KAMA WATANO WAKANIELEZEA UMOJA WAO,WOTE WANAUZA EITHER NGUO AU VIATU,WANA MILIKI NYUMBA NA MAGARI,WAMEWEZA KUJISOMESHA NA WANA UMOJA KIASI KWAMBA WANAHAKIKISHA KILA MMOJA WAO AFIKE KIWANGO FLANI KIMAISHA ILI WAJITOE KWENYE UMASKINI,,I WOULD LIKE TO CALL THEM KIOO CHA JAMII,MADOGO WALINIINSPIRE MPAKA MACHOZI YAKANITOKA MAANA MADEM HUWADHARAU NA VIJANA WENZAO PIA BILA KUJUA KILICHO NYUMA YA PAZIA,,NASHKURU KUKUTANA NA HAWA WATU MAANA WAMENIPA TUFF NIZIDI KUKAZA BUTI KIMZIKI,KIMAISHA,KIBIASHARA NA KUONYESHA UMOJA NI NGUVU,NIMEMALIZA!!
Like ·  ·  · 8 minutes ago ·

  • John Maroy Utaleta vita Nuru
  • Nuru Mohd KWANN JOHN?,,ITS A VALID QUESTION DONT U THINK
  • John Maroy Vitu vingine viachage hivyo hivyo, kunamtu niliwahi kumuuliza kwanini kwanini ma padre wanabariki ndoa wakati hawaruhusiwi kuoa, mama ilileta tafran tupu
  • Pierre Amos Unapoint to some extent ila msanii ni kioo cha jamii kwasababu attention ya jamii yote ipo kwake na anaonekana na wengi zaidi kupitia vyombo vya habari. Mijini na vijijini wanamjua staa lyk wewe apo. Nani atanijua mimi mwanasheria kule Singida ndani ndani kwa wanyaturu!?
  • Chrisford Komba Ni kwa sababu wanaonekana na kujulikana na sehemu kubwa ya jamii ukilinganisha na hao wamachinga na watu wengine. Thats all
  • Nuru Mohd hata kama hujulikani singida ndani ndani but still wewe unawainpsire watu,,kwani kuwa kioo cha jamii mm nnavyoona sio lazma ujulikane to the big mass out there unaweza kuwa na impact pale unapokaa na ikaendezeshwa na wanokuona na kukujua kwani kuna watu singida bado hawanijui mm so kwann mtu kijijini kwao pale pale anayefanya vizuri asiwe kioo chao,,my point ni kwamba kila mtu anaweza kuwa kiooo kwa kila mtu dunia hii na sio mastaa tuuu,,mnawapa mastaa a very big responsibilty kusahau kuwa hata wao ni binadamu@pierre
  • Nuru Mohd JOHN HAYO NI MASWALI MAWILI TOFAUTI NA NNACHOONGEA MIE,,hiyo ni dini imesema hawaruhusu kuowa,,kuwa kioo hata wewe unaweza kuwa kioo cha jamii,,kwa sasa unaonekana na watu wengi na wanakuskiliza na kuna wakati mnauliza maswali mazuri na wakati maswali yasiyohusu kazi ya yule mtu mnaomfanyia interview,,kumbuka kuwa watu wanajifunza mengi tokea kwako so kwasasa umeshakuwa machoni mwa watu so jua kwamba wanakutizama na kukuskiliza,,@JOHN
  • Nuru Mohd Bado hmjaelewa swali langu nahisi@chrisford

No comments: