Tickets za VIP Tsh.50,000/= zinapatikana SHEAR ILLUSIONS Mlimani City, BM Salon Kinondoni, CITY SPORTS LOUNGE mjini, NYUMBANI LOUNGE, SAMAKI SAMAKI Mlimani City na kwenye gari yangu popote utakapopishana na mimi. MIAKA 13 YA LADY JAYDEE njooni tuimbe na tusherehekee kwa pamoja ta 31 May 2013. Sehemu ya Parking ya ndani ya Nyumbani Lounge, Tranic Plaza

Tickets za VIP pia zinapatikana American Nails & Hair Saloon Kinondoni karibu na TX Market opposite na Sehemu ya kutengeneza furniture

No comments: